Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Tofauti ya duma na wanyama wengine jamii ya paka ni kwamba duma ana mwili mdogo, kichwa kidogo na hata masikio yake ni madogo pia.
Kweli...Duma ana miguu myembamba na mirefu, mwili ulio chongoka ambapo sifa zote hizi humuongezea uwezo wa kukimbia kwa kasi.
Siiba Bulungi!Duh !!!
Unaniangusha bro....Mara 21 kwa mwezi Aisee wabaki na utafiti wao Tu habari hizi kwetu wagumu kama hatuzioni vile [emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549]