Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Unaniangusha bro....
#HakunaMkatalunyaMgumu
#Majamaanihatari
#SimbaMkimyaMwendaPoleniHatariZaidi
Haikubali extension zo zote za kuzuia matangazo mf. Adblock?
Ntaijaribu na yenyewe nipate radha ninayoitafuta
Mtandaoni sifanyagi mambo mengi sana. Kwa sasa Firefox na Chrome zinatosha kabisa bro.Sijawahi kutumia hii Adblock hopefully inaweza kufanya kazi
Ijaribu then utupe mrejesho bro
Daktari bingwa wa magonjwa ya ndani ya mwili Dk. Meshack Shimwela amesema zipo sababu tofauti zinazosababisha vifo vya ghafla, baadhi ikiwa ni maradhi ya moyo, mapafu, ubongo, mfumo wa upumuaji na wakati mwingine sumu.Nimejaribu kuifuatilia hiyo habari kuu nimeshindwa. Ningependa kusoma hayo maoni ya daktari. Mwezi Mei rafiki yangu alipata kiharusi akafa. Last week mwingine naye huko kijijini kafa tu. Na hawa ni akina baba wenye nguvu wakakamavu mid 40s. Stroke na heart attack siku hizi jambo la kawaida tu. What is going on?
View attachment 1172959