Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bora kumpa jirani kuliko kioze
Hapo lazima utume na ya kutolewa
Hahahah kama umejua bhasi bro tuishie hapo hapoNajua kwanini unaongelea swala la usajiri kwa uchungu [emoji3]
HahahaWajuzi wanasemaga eti ukimwona slei kwini kaanza hizi mbwembwe basi jua kuwa katemwa na main sponsor [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1173423
Wajuzi wanasemaga eti ukimwona slei kwini kaanza hizi mbwembwe basi jua kuwa katemwa na main sponsor [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1173423
Mdada ameamua kujilipua,AKAMATWA NA STIKA FEKI ZAIDI YA 2,000 ZA VIZA
-
Idara ya Uhamiaji nchini, imemkamata Jasmin Ngongolo, mkazi wa Dar es Salaam katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere akiwa na stika za Viza 2,546 za Tanzania za kughushi wakati akitokea Afrika Kusini
-
Samwel Mahirane, Kamishna wa Uhamiaji Usimamizi na Udhibiti wa Mipaka amesema, mtuhumiwa huyo alifunga mizigo hiyo kwa ustadi ikiwa na utambulisho juu ya kila boksi kuwa ni stika zinazobandikwa katika vioo vya magari
-
Aidha, mtuhumiwa alikutwa na bidhaa nyingine ambazo ni sabuni za kuogea, sabuni za unga za kufulia, pampers, hereni, pafyumu na vipodozi vya aina mbalimbali kwa lengo la kuwahadaa maofisa wakati wa upekuzi
-
Baada ya kukamilika kwa uchunguzi, mtuhumiwa na wote watakaohusishwa na mtandao huo, watafikishwa MahakamaniView attachment 1173607