Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

 
Happy hivi uko single ama double? Binafsi niko single ila used!
 
mume kamchoma mke wake kwa mkaa..
mke amuuwa mume wake kwa bisibisi..

hali inatisha aisee
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]



Arch mie Niko complicated.[emoji18]
Not so bad maana tofaut kati ya Welding na Wedding ni kwamba kwenye welding cheche zinaonekana wakati unaunganisa pande mbili ila kwenye wedding unaunganisha kwanza kisha cheche zinaonekana baadaye..so kama uko complicated itakuwa ni added factor! Naomba CV yako tafadhali kama hutojali ili nikusaili nione huo u complexity wako
 
Back
Top Bottom