Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mi ni muhenga koko, ila salaam yoyote utakayonipa nitaipokea tu bhagesh[emoji23][emoji23].
Lakini siku tukikutana kanda ya ziwa ili nipokee salaam yako lazima upige goti kama ilivyo ada[emoji23][emoji23][emoji23]
Sijambo Moud....wanasemaje pande hizo.!


upo kwenye list ya wahenga niandae salamu nzito[emoji28]?
 
Not so bad maana tofaut kati ya Welding na Wedding ni kwamba kwenye welding cheche zinaonekana wakati unaunganisa pande mbili ila kwenye wedding unaunganisha kwanza kisha cheche zinaonekana baadaye..so kama uko complicated itakuwa ni added factor! Naomba CV yako tafadhali kama hutojali ili nikusaili nione huo u complexity wako
[emoji45][emoji45][emoji46][emoji53][emoji53][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Image may contain: one or more people
Saalaleeee.....
 
Mi ni muhenga koko, ila salaam yoyote utakayonipa nitaipokea tu bhagesh[emoji23][emoji23].
Lakini siku tukikutana kanda ya ziwa ili nipokee salaam yako lazima upige goti kama ilivyo ada[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha, sawa sawa.! Hivi ndo wanasema ulimhola...![emoji28]

Hilo goti itabidi nianze kuchukua kozi,ili nisikuabishe bhagheshi
 
Back
Top Bottom