myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
15:58
Yeah Jah man. Welkom to Jamaica...Majanii, Nature hapaView attachment 1173718
Majamaa [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Ni Mashabiki wa Barcelona, wakiongozwa na Davet na Colle
Eti hakina mtu lakini yuzidi balaa.... [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
#UmekionaKiatuChaFarasiLakini
Mimi huwa nasaidia watu wenye shida ya kuandika CV na hata kurekebisha zenye matatizo na kasoro mbalimbali. Na huduma yote ni bure [emoji16][emoji45][emoji45][emoji46][emoji53][emoji53][emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji16][emoji16][emoji16]. Da King himuselfu .Unamjua Mfalme Mswati wa Swaziland tunayepiga naye stori kwenye uzi huu.?
Jitahidi uzijue nguvu za Mfalme
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Happy hivi uko single ama double? Binafsi niko single ila used!
Kwenye uzi huu utapata shida sana kama una wivu. Kuna majamaa hapa, makatalunya na hata wafalme kabisa wenye falme na tawala zao...Nlivyo na wivu tayari nshaanza kuhisi moyo wangu kumdondokea happy so mtu baki akimsalimu naona kama daah
Enhe, ngoja nideke sasa..!Mimi huwa nasaidia watu wenye shida ya kuandika CV na hata kurekebisha zenye matatizo na kasoro mbalimbali. Na huduma yote ni bure [emoji16]
March 16. 2019?![]()
Jarida la The Economist leo limemtukana Rais Magufuli kwa kumwita FOOLISH
Habari, Leo mapema nilitafuta nakala yangu ya Jarida la The Economist, moja kati ya majarida makubwa kabisa, makongwe na yanayosomwa na wengi ziaidi hapa duniani. Kama kawaida huwa naenda kuangalia kipengele cha Africa & Middle East. Leo walichokisema kuhusu Tanzania kwenye kichwa cha habari ni...www.jamiiforums.com
Hahaha eenh haoo hao "Majamaa"[emoji1]Majamaa [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Kuna comments za wadau huko zinachekesha balaa...![]()
Life Experience: Jambo gani liliwahi kukutia aibu katika maisha?
Moja kwa moja niende katika mada. Leo asubuhi kama kawaida yangu kuna mahali huwa naenda kunywa chai, ni mgahawa wa jamaa yangu mmoja wa karibu, nimekunywa chai, nilipomaliza nikaona kuna funguo juu ya meza, ambazo ninafahamu ni za jamaa yangu(Nimeshazitumia mara kadhaa kukatia kucha kwa maana...www.jamiiforums.com
Wa kishua mnakula maisha. Chai ya draft nilikuwa sijawahi kuisikia [emoji16][emoji16]Inapendeza sana
#Asantee
#chaiyadraft
#hapayaipalechapati[emoji124][emoji124]
Sijambo THEnhe, ngoja nideke sasa..!
Shikamoo The don himself[emoji16], za Jumanne??wajionaje na hali..![emoji4]
Mambo ya kijana mpole hayo, wakishua pure[emoji2]Wa kishua mnakula maisha. Chai ya draft nilikuwa sijawahi kuisikia [emoji16][emoji16]