Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

362fb16738a56a19d43ff922dafaa55d~2.jpeg
 
Haha, kwani file langu si lipo kwako, Masijala kuu ya Uzi[emoji125][emoji125].....tutatumia hizo[emoji28]
We bado mgeni mgeni. Faili lako halina mambo mengi na CV yako haimo. Naona tu hapa juu limeandikwa

TH aka Wa Kishua...
(Kipenzi cha Majamaa)

Usiwe na wasiwasi. Litajaa soon. Cha muhimu tu ubakie katika uzi huu.
 
Back
Top Bottom