Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mtoto...
ca8c0813-8062-4d24-872c-ebfd5e8c876e.jpeg
 
Mabeberu siyo wabaya, enzi zao walimsifia sana Husein Mubarak, Mobutu Seseseko, Ali Abidine Ben Ali, Ngwazi Kamuzu Banda na watu wa aina hiyo[emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
March 16. 2019?

Mwalimu Nyerere aliwahi kusema "Ukiona unasifiwa na mabeberu wa Magharibi basi jichunguze"

....and totally unprofessional....[emoji2221][emoji2221][emoji2221]
 
Mabeberu siyo wabaya, enzi zao walimsifia sana Husein Mubarak, Mobutu Seseseko, Ali Abidine Ben Ali, Ngwazi Kamuzu Banda na watu wa aina hiyo[emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Ukiona wanafikia hata kumtukana mkuu wa nchi jua maslahi yao yameguswa. Na wanaweza kufanya hivi tu kwa vinchi hivi masikini. Hata siku moja huwezi kuwakuta wanamtukana Putin au madikteta wengine tena wa ukweli achana na hivi uchwara uchwara. Ukiwa upande wao wanajichotea raslimali wanakufumbia jicho hasa kama uko dikteta kiasi gani (Saddam na hao uliowataja)...

Wote uliowataja hapo juu walijifunza tena the hard way kuhusu unafiki wa hao jamaa. Wanakutumia weeee kuwaibia watu wako halafu wakiona huna tena faida kwao wanakutupa kama ganda la muwa...

Leo hii kitokee kigazeti uchwara cha huku kwetu kimuite Trump foolish halafu usikilizie muziki wake....
 
Nimeipenda sana .hiyo.
Mwenyezi Mungu amuongoze bw Richard kwa kukumbuka wema aliotendewa, lakini pia amuongoze kwenye neema zake mkopeshaji kwa moyo wake wa utu na amfanyie wepesi kila kwenye vikwazo[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Wema hauozi [emoji1545][emoji1545]
View attachment 1173805
 
Back
Top Bottom