Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Na hao ndiyo wanatingisha dunia kwenye urembo kwa sasa. Acha tu nibakie na majimama yangu kwa kweli [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
f073c4c5-4423-4aa7-b1fe-52171926ed40.gif
 
Hivi inakuwaga nini hasa, unamfanyia wema binadamu mwenzako kwa moyo mmoja badaye anakugeuka na kukuona adui yake bila sababu yoyote.
Ni kitu gani hasa?
Inatisha sana
Nadhani ni sense of guilty kwa upande wa msaidiwa. Akija kuinuka anashindwa kukubali ukweli kuwa uliwahi kumsaidia na asingefika hapo alipo bila msaada wako. Ukimsaidia mtu, hasa siku hizi, hesabu kuwa ni sadaka tu na uende zako kabisa kabisa hata msijuane tena hata kama ni ndugu...

Na kama unataka utakaso wa fikra na kiroho ni afadhali usaidie watu usiowajua huko mahospitalini na ma orphanages...

Mtu umemsomesha leo hii amegeuka adui anataka kukutoa roho. Whai?
 
Back
Top Bottom