Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Asee, inaumiza sana.
Ni kwamba waweza kumsaidia mtu bila kujali fadhila yoyote toka kwake, lakini cha kushangaza anaanza kueneza habari mbalimbali za kutunga nia ikiwa kukuchafua tu.
Nadhani ni sense of guilty kwa upande wa msaidiwa. Akija kuinuka anashindwa kukubali ukweli kuwa uliwahi kumsaidia na asingefika hapo alipo bila msaada wako. Ukimsaidia mtu, hasa siku hizi, hesabu kuwa ni sadaka tu na uende zako kabisa kabisa hata msijuane tena hata kama ni ndugu...

Na kama unataka utakaso wa fikra na kiroho ni afadhali usaidie watu usiowajua huko mahospitalini na ma orphanages...

Mtu umemsomesha leo hii amegeuka adui anataka kukutoa roho. Whai?
 
Bhaghesh mbona unaniagusha, lazima ujue kupiga goti la Kisukuma, kama ni mazoezi mtafute bint mpole akuelekeze[emoji23][emoji23][emoji23]
Binti Mpole ngangari sidhani kama bado ana ishu za kupiga magoti. Labda ukweni...[emoji2099][emoji2099][emoji2099]

(Treni tayari nshadandia hivyo mwenzenu [emoji16][emoji16][emoji16])
 
Lazima tu ufurahie. Huwezi kujizuia japo kidogo ishu za hivi?
Kuna vitu vinzfurahisha sana bro hahah
IMG_20190806_191020.jpeg
 
Back
Top Bottom