moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Nadhani ni sense of guilty kwa upande wa msaidiwa. Akija kuinuka anashindwa kukubali ukweli kuwa uliwahi kumsaidia na asingefika hapo alipo bila msaada wako. Ukimsaidia mtu, hasa siku hizi, hesabu kuwa ni sadaka tu na uende zako kabisa kabisa hata msijuane tena hata kama ni ndugu...
Na kama unataka utakaso wa fikra na kiroho ni afadhali usaidie watu usiowajua huko mahospitalini na ma orphanages...
Mtu umemsomesha leo hii amegeuka adui anataka kukutoa roho. Whai?
Unajua sikufanikiwa kuona huu msamiati wa wakatalunya ulianzaje huku....
Kwahiyo nashindwa kukujibu.
Au ni mashabiki wa Barça?
Akirudi fraggy na mimi napotea[emoji36][emoji36]
Mikia Dei....View attachment 1173845
Mikia Dei....View attachment 1173845
Hahaha
Huku salama kaka,karbu Burigi
[emoji23][emoji23][emoji23]
Binti mpole atafaa sana kwenye hili
Fraggy, hello! We miss u
Binti Mpole ngangari sidhani kama bado ana ishu za kupiga magoti. Labda ukweni...[emoji2099][emoji2099][emoji2099]Bhaghesh mbona unaniagusha, lazima ujue kupiga goti la Kisukuma, kama ni mazoezi mtafute bint mpole akuelekeze[emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna vitu vinzfurahisha sana bro hahahLazima tu ufurahie. Huwezi kujizuia japo kidogo ishu za hivi?
Karbu sana bro!!Nitatafuta nafasi nitembelee pande hizo bro
Wakatalunya [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Oh! Any reason behind your decision? [emoji30][emoji30]
No any, just a holiday to be missed[emoji19]Oh! Any reason behind your decision? [emoji30][emoji30]
Kuna vitu vinzfurahisha sana bro hahahView attachment 1173867
Wakatalunya WOTE DUNIANI WANAFAIDI ILA KASORO MIMI
View attachment 1173859
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Binti Mpole ngangari sidhani kama bado ana ishu za kupiga magoti. Labda ukweni...[emoji2099][emoji2099][emoji2099]
(Treni tayari nshadandia hivyo mwenzenu [emoji16][emoji16][emoji16])
Wakatalunya [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]