Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

2fc16846-d1db-4b70-b12b-b222c24105e5.jpeg
 
Ni kweli jirani, uko wapi leo, natamani siku moja tukutane mitaa yetu tupate Hashua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwakaleli moja ndugu yangu.
Mungu akipenda wiki lijalo nitakuwepo mjini kukung'uta mavumbi ya migombani...
Itakuwa moja kwa moja Sokota (Sugar ray) bila kigugumizi [emoji1][emoji1][emoji1]
 
Back
Top Bottom