moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Poleni wafanyakazi wote
Wakulima poleni
Umesikika. 😂😂😂Wakusoma poleni
Hakika nimekuta kukiwa kutulivu sana huku leo.Mambo vipi hapa
Tanzania yetuVolcano hai ya Oldonyo Lengai.
Tanzania View attachment 1174864
Mwakaleli moja ndugu yangu.
Mungu akipenda wiki lijalo nitakuwepo mjini kukung'uta mavumbi ya migombani...
Itakuwa moja kwa moja Sokota (Sugar ray) bila kigugumizi [emoji1][emoji1][emoji1]
Usiku wa likes
Likes za magharibi
Zipokee mkuuLikes za jioni
Ahsanteni kwa ufafanuzi.
Colle, nilihisi hivyo ila sikuwa na uhakika.
Siku tu moja najua yote nitakuwa nimeyamalizaHahah pole mkuu mimi nilishamaliza