Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
Umesehau sehemu ya cheche, hahahahahah
Salama bro?
Safi kabisa Bro! Cheche inakuwa negligible kwani kwenye Wedding huhitaji kuvaa helmet/goggles! [emoji16][emoji16]
Umesehau sehemu ya cheche, hahahahahah
Salama bro?
Morning bro, salama?Morning!
Today I don't feel like doing anything[emoji21][emoji21]
I just wanna lay in ma bed
............
Salaaam king,
#UishiMileleKing
Wedding is different from welding. Discuss (40%)
Not so bad maana tofaut kati ya Welding na Wedding ni kwamba kwenye welding cheche zinaonekana wakati unaunganisa pande mbili ila kwenye wedding unaunganisha kwanza kisha cheche zinaonekana baadaye..so kama uko complicated itakuwa ni added factor! Naomba CV yako tafadhali kama hutojali ili nikusaili nione huo u complexity wako
Today I don't feel like doing anything[emoji21][emoji21]
I just wanna lay in ma bed
............
Hongera tena wakati akiba yangu imeoza?!!
Unamvunjia “Hishima” Mwenyekiti aisee! [emoji16][emoji16]
Haaa sawa collieAkiba Moyo wako Mkuu na hasara ni roho pesa makaratasi Tu
Raha by Marioo[emoji445][emoji444]
#NimepigaChabo
#jimboLaKingLilikuaLinatingishwaHapa
Huyo tumeshamwondoa kabisa chamani [emoji23]
Ila ndugu Mjumbe ngoja nikirudi mida nakuja na faili lako. Kuna khabari humu nazisikia za “Simba mwenda kimya” mpaka imani inaanza kunitoka aisee! Ngoja nitweke Tanga, mashuani naelekea! [emoji16][emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️
😂😂😂Akiba Moyo wako Mkuu na hasara ni roho pesa makaratasi Tu
Salama bro, kumekucha salama.So far so Good
Bradha vipi upande wako ?