Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wedding is different from welding. Discuss (40%)

#NimepigaChabo
#jimboLaKingLilikuaLinatingishwaHapa
 
Huyo tumeshamwondoa kabisa chamani [emoji23]

Ila ndugu Mjumbe ngoja nikirudi mida nakuja na faili lako. Kuna khabari humu nazisikia za “Simba mwenda kimya” mpaka imani inaanza kunitoka aisee! Ngoja nitweke Tanga, mashuani naelekea! [emoji16][emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
 

Sawa weka nanga uvuvi unahitaji timing, tuhuma hizo si za kweli kabisa mwenyekiti, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…