Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

.Mfumo huu unapokuwa umewashwa kwenye kifaa chako cha mawasiliano huzima mifumo yote ya kiredio inayojumuisha,bluetooth,wifi pamoja na mitandao ya simu)Radio ni aina ya technolojia ya mawasiliano ambayo hutumika kusafirisha na kupokea mawasiliano katika vifaa mbalimbali vya mawasiliano.
 
Hii inaa maana kwamba abiria wa ndege ataweza kutumia huduma kama kupiga picha kwa kutumia kamera ya simu yake,kusikiliza muziki na video zilizohifadhiwa katika simu yake na huduma nyingine isipokuwa zile nilizozitaja hapo juu yaani kufanya mawasiliano ya simu,kushare kwa bluetooth,wifi na hata huduma ya GPS.
 
kwa nini airplane mode kwenye ndege.

Ili simu iweze kupata mawasiliano hutuma ishara kila wakati ili kutafuta mnara wa mawasiliano husika,hivyo kitendo hiki kinaweza kuingiliana na mawasiliano ya ndege na hivyo kuweza kusababisha rubani kushindwa kumudu kuiongoza ndege husika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…