Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

TECNO hiyooo...simu ya wajanja [emoji818][emoji818][emoji818]
ffa8c3fbb5d681b85e197460f71753ea.jpeg
 
Hata wanaojaribu kuact hapa mwishowe huishia kuumbuka. Imagine mtu unajiita mgumu halafu kila siku huachani na maua waridi, magauni ya bluu, viatu vya mchuchumio pamoja na mvinyo. Whai?

Au sijui unajifanya una jimbo la kudumu lakini ukiona jimbo jipya nawe umo kinyang'anyironi. Kha !!!

Be real man...

#NakuaminiaBro
#UnazinduliwaKilaLeoLakiniBadoUnaongezaMajimbo
#Youdaman [emoji123][emoji123][emoji123][emoji109][emoji109][emoji109]

Hili dongo nimeliona aisee, na nimelikwepa uzuri... Tshaaa! [emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom