Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Poa kabisa bro?Habari ni gani bro?
Himaya yako mpya bado iko salama?
Cheche za welding hazikuleta madhara?
Poa kabisa bro?Habari ni gani bro?
Safi MoudgulfSalaam Hawachi
Hata wanaojaribu kuact hapa mwishowe huishia kuumbuka. Imagine mtu unajiita mgumu halafu kila siku huachani na maua waridi, magauni ya bluu, viatu vya mchuchumio pamoja na mvinyo. Whai?Heheh! Safi sana
#Hakunakuact
#Unakuareal
😂😂hiyo ni ikweli..
HahahHata wanaojaribu kuact hapa mwishowe huishia kuumbuka. Imagine mtu unajiita mgumu halafu kila siku huachani na maua waridi, magauni ya bluu, viatu vya mchuchumio pamoja na mvinyo. Whai?
Au sijui unajifanya una jimbo la kudumu lakini ukiona jimbo jipya nawe umo kinyang'anyironi. Kha !!!
Be real man...
#NakuaminiaBro
#UnazinduliwaKilaLeoLakiniBadoUnaongezaMajimbo
#Youdaman [emoji123][emoji123][emoji123][emoji109][emoji109][emoji109]
👯♂️👯♀️👯♀️👯♀️Subiri ikifika siku hizi za Iddi nitakulekeza mahali panapofaa kwenda kujificha[emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Salama TH??Any moment Can be a goodbye