Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

20190808_164938.jpeg
 
Wewe huna agenda nzuri namimi.
Ikibaki kidogo unigombanishe na bro mkubwa, baadae kidogo nikajiunga kwa wagumu ukautingisha msimamo wangu na leo unataka nigombane na Esta yena [emoji3][emoji3][emoji3]

#WakatalunyaPiaWatanimindKuwaInakuwajeUmeendaNjeYaWakatalugna??[emoji3][emoji3][emoji3][emoji16]
Kidogo ugombane na bro mkubwa eeeeh !

We "mkorofi" sana...

Ishi uhalisia wako bro na siyo kujifanya eti mpoooole mstaarabu. Mpaka unakaribia kugombea himaya na watu wa welding na mfalme mwenyewe. Hufai bro [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom