Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

aigooo umeuliza swali huku ukiwa umejawa na khofu ya kukutana na shetani dhihaka aliyejawa na uchafu wa majibu.
kwa kuwa ni ibada ya lazima kwa kila muislamu mwenye uwezo basi itawalazimu jinsia zote mbili kutekeleza ibada
Ndani ya uzi huu sipendi kukwaza watu ila nje ya hapa uwiii najisahau sana
 
Aiseee kumbe gharama ndefu. Ila wachache sana wanaoenda kwa pesa halali
upo sahihi, kwa mfumo huu wa maisha ni ngumu sana kukusanya millioni 11 zisizokuwa na chembechembe ya dhuluma yeyote ile.

========> kwanza huruhusiwi kukopa fedha ya kwenda hijja.
ushahidi wa hadithi:
Kutoka kwa Abdullah bin Abu Auf (Radhiya Allaahu ‘anhu) amesema:

((Nilimuuliza Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam) juu ya mtu asiyewahi kuhiji iwapo anaruhusiwa kukopa kwa ajili ya kuhiji?” Akaniambia; “La, (asifanye hivyo)”.)) [Imepokewa na Al-Bayhaqiy]

=========> huruhusiwi Kuhiji Kwa Mali Ya Haramu
ushahidi wa hadithi

Imepokewa kutoka kwa At-Tabarani kuwa Abu Hurayra (Radhiya Allaahu ‘anhu) amesema: kuwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam) amesema:

Anapotoka mwenye kuhiji kwa pesa njema akauweka mguu wake juu ya kipandio cha mnyama wake, akasema: "Labbayka Allahumma labbayk", (Nakuitikia ewe Mola wangu nakuitikia) hujibiwa na msemaji kutoka mbinguni, "Labbayka wa Sa’adayka (Mwitikio wako umekubaliwa na utafurahi kwa amali yako njema hii), kwa sababu zawadi yako (chakula na vifaa vyako) ni vya halali, na mnyama wako ni wa halali, na Hajj yako inakubaliwa na haina madhambi".

Lakini anapotoka anayeihiji kwa pesa za haramu akauweka mguu wake juu ya kipandio cha mnyama wake akasema, "Labbayka Allahumma labbayk" (Nakuitikia ewe Mola wangu nakuitikia), hujibiwa kutoka mbinguni, "Laa labbayaka walaa sa’adayka. (Hakukubaliwi kuitikia kwako wala hutolipwa mema), kwa sababu vifaa vyako ni vya haramu na pesa zako ni za haramu na Hajj yako ni ya dhambi na wala haikubaliwi".
 
Mbinguni mbali sana. Hope tutafika tu.

Back
Top Bottom