moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
niliwahi kwenda kwa njia ya usingizini cha ajabu nilipofika jeddah nikarudishwa kwa mbwa wa polisi.Kwenye huu uzi wetu kuna aliyewahi kwenda huko?
Hahahahah yaan wewe. Fanya mpango uende uongeze baraka zaidiniliwahi kwenda kwa njia ya usingizini cha ajabu nilipofika jeddah nikarudishwa kwa mbwa wa polisi.
Kwenye huu uzi wetu kuna aliyewahi kwenda huko?
Maombi muhimu. Uende uongeze baraka zaidi.Naomba uniombee niende huko mwaka ujao.
Kutoonekana kwa Fragaria kwenye kipindi hiki cha Hija kunanipa shaka
Maombi muhimu. Uende uongeze baraka zaidi.
Sorry kwa ntakayemkwanza. Je na wanawake huwa wanaenda?
Maombi muhimu. Uende uongeze baraka zaidi.
Sorry kwa ntakayemkwanza. Je na wanawake huwa wanaenda?
Dini ishu sensitive tahadhari muhimu.Naam, wanawake pia.
Sidhani kama kuna unayemkwaza