Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1565260399732.jpeg
 
Hahahahah yaan wewe. Fanya mpango uende uongeze baraka zaidi
safari ya Hijja kwa hela ya bwana magufuli unaweza kununulia kiwanja maeneo anayoishi balozi seif ali iddi a.k.a makamo wa pili wa raisi wa zanzibar.

dola 3700 hadi dola 4700 ndio gharama zake ambazo ni sawa sawa na wastani wa millioni 11.
halafu safari ya Hijja haitaki hela chafu, sasa jiulize maisha haya yaliojaa roho mbaya na fitina ni waislamu wangapi wanaofanikiwa kusafiri kwa hela safi?

unakwenda hijja kwa hela ya mshahara wa serikali?
unakwenda hijja kwa hela ulioikusanya kwa wadai wako uliowaongezea riba?
 
Not so bad maana tofaut kati ya Welding na Wedding ni kwamba kwenye welding cheche zinaonekana wakati unaunganisa pande mbili ila kwenye wedding unaunganisha kwanza kisha cheche zinaonekana baadaye..so kama uko complicated itakuwa ni added factor! Naomba CV yako tafadhali kama hutojali ili nikusaili nione huo u complexity wako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
safari ya Hijja kwa hela ya bwana magufuli unaweza kununulia kiwanja maeneo anayoishi balozi seif ali iddi a.k.a makamo wa pili wa raisi wa zanzibar.

dola 3700 hadi dola 4700 ndio gharama zake ambazo ni sawa sawa na wastani wa millioni 11.
halafu safari ya Hijja haitaki hela chafu, sasa jiulize maisha haya yaliojaa roho mbaya na fitina ni waislamu wangapi wanaofanikiwa kusafiri kwa hela safi?

unakwenda hijja kwa hela ya mshahara wa serikali?
unakwenda hijja kwa hela ulioikusanya kwa wadai wako uliowaongezea riba?
Aiseee kumbe gharama ndefu. Ila wachache sana wanaoenda kwa pesa halali
 
Maombi muhimu. Uende uongeze baraka zaidi.

Sorry kwa ntakayemkwanza. Je na wanawake huwa wanaenda?
aigooo umeuliza swali huku ukiwa umejawa na khofu ya kukutana na shetani dhihaka aliyejawa na uchafu wa majibu.
kwa kuwa ni ibada ya lazima kwa kila muislamu mwenye uwezo basi itawalazimu jinsia zote mbili kutekeleza ibada
 
Back
Top Bottom