Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Nimecheka sana mbele ya watu. Daah!

#YouLetmeDownbro
#Youshouldacceptchallanges
Wewe huna agenda nzuri namimi.
Ikibaki kidogo unigombanishe na bro mkubwa, baadae kidogo nikajiunga kwa wagumu ukautingisha msimamo wangu na leo unataka nigombane na Esta yena 😀😀😀

#WakatalunyaPiaWatanimindKuwaInakuwajeUmeendaNjeYaWakatalugna??😀😀😀😁
 
Hahah! Daah

Hapana bro huwezi gombana na Binti mpole maana ni muelewa sana

#Wakatalunyatupopamojanawewe

Ila mzee hizo kashi kashi zote ilikua ni project ya kukufanya uwe real. Sasa hivi nafurahi kukuona unaishi maisha yako halisi humu ndani, niligundua kipaji chako mapema nikasema nifanye vitu kukutoa kwenye maigizo uliyokua unaleta hapo b4........

#Tuendeleekupataburudanihumundani
 
Back
Top Bottom