Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

455929784_422288.jpeg
 
Sijambo The don, Shikamoo...! Shamra shamra zinasemaje huko?


😀😀😀Ngosha nitamsalimu,angekuwepo simiyu angeenda bila shaka

Marahabaa TH...

Shamra shamra huku zimepamba moto. Ngosha angekuwepo bila shaka asingekosa. Ni karibu sana na kwake. Unavuka kijiji kimoja tu cha Dutwa unafika yanapofanyikia maonyesho...
 
Back
Top Bottom