Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
[emoji106]Unategemea nini unapokuwa na mabeki kama Van Dijk, Kyle Walker na David Luiz, ambao kazi yao uwanjani sio kuzuia mashambulizi, lakini ni viongozi uwanjani, wafungaji na wakati mwengine kuamua matokeo?
Duh! Hapo kuna historia kubwa
Oooh na kweli maana hata leo amejitahidi kuhudhuria ya huku😀Marahabaa TH...
Shamra shamra huku zimepamba moto. Ngosha angekuwepo bila shaka asingekosa. Ni karibu sana na kwake. Unavuka kijiji kimoja tu cha Dutwa unafika yanapofanyikia maonyesho...