Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hashtags zenu zinafurahisha
Hahhaha me muhenga broWewe bado ndiyo kwanza hata late 20s hujaingia. Jipe miaka 15 uhenga wa 38 utaufikia tu usiwe na wasiwasi....na muda haukawiagi aisee....
Aaaa wapi. Wahenga tunajuana humu....Hahhaha me muhenga bro
Nishavuka umri wa mapambazuko
Halafu unajua kumbatizi langu la jana usiku sikulipata? Uliishia mitini kiaina [emoji16][emoji16][emoji16]Hahhaha me muhenga bro
Nishavuka umri wa mapambazuko
Aah basi sawaaAaaa wapi. Wahenga tunajuana humu....
Uhenga utaufikia tu. Una haraka ya nini? Kula ujana kwanza
Linakuja LeoHalafu unajua kumbatizi langu la jana usiku sikulipata? Uliishia mitini kiaina [emoji16][emoji16][emoji16]
Mpendwa unaniita kisha unakimbia una maanisha nini eti 🤔😀😀😀Mpendwa Hawachi [emoji2099][emoji2099][emoji2099]