Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

4ab104db-ed76-474e-9b2f-ac8c247f2da5.jpeg
 
Kombinesheni ya hawa vijana inafurahisha sana. Naona nae Yegomasika anaenda nao sambamba kama wewe tu.
Namshukuru Mungu nimefika alfajiri ya leo salama. Kwema huko?

Mimi nitoe humo. Hili ni gemu la vijana. Mimi huwa nachagizaga na kuchochea vimoto vya hapa na pale tu halafu navuta kiti na kuanza kula popcorn zangu...

Huku salama kabisa na Tunamshukuru Mungu. Dadangu....
 
Nimekosa nini tena mpendwa Hawachi?

Nitie kwenye iginoa listi ya wiki moja hivi. Ukisahau kunitoa nitakukumbusha. Nitakuwa nshajirekebisha [emoji16][emoji16][emoji16]
Hahahaha umeniita nimefika tupige stori nashangaa una nikimbia,hakuna kosa ulio tenda litakalo nishawishi nikuweke kwenye iginoa list 😀
 
Andjul eti Simba ya buyenze ni Msukuma ana niangusha mzee baba [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]usikubali kuangushwa kirahisi, ni msukuma pyua (hata sijui ya kuangusha kwa mfumo upi?!!) hafai kabisa.Gangamala mpendwa,kanyaga miguu yote, shika mikono huku na huku...
Ni shemeji zangu hao hawachoki wakiamua (ntaumbuka mie [emoji849]) kukuangusha ile ya kuangushwa puuuu....
 
Back
Top Bottom