Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Hashtags zenu zinafurahisha
Wamepotea wakati vijana wenzao wako hapa. Hashtags zingepamba moto hapa ingekuwa kufurahi tu yaani.[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Najisikia raha sana kuzisoma hizo hashtags zao
Hawachiiiii [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Mpendwa unaniita kisha unakimbia una maanisha nini eti [emoji848][emoji3][emoji3][emoji3]
Mpendwa andjulHawachiiiii [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Kombinesheni ya hawa vijana inafurahisha sana. Naona nae Yegomasika anaenda nao sambamba kama wewe tu.Wamepotea wakati vijana wenzao wako hapa. Hashtags zingepamba moto hapa ingekuwa kufurahi tu yaani.
Wewe huko kwako kwema lakini? Bado uko kwenye baridi au umerudi kwa dada?