Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mwacha ajichanganye. Kitakachompata hatakisahau [emoji2099][emoji2099][emoji2099]

Anonimazi forevaaaa [emoji351][emoji350][emoji350]
😂😂😂😂

Eti kajiunga kwenye kifurushi cha wanaomuogopa
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]usikubali kuangushwa kirahisi, ni msukuma pyua (hata sijui ya kuangusha kwa mfumo upi?!!) hafai kabisa.Gangamala mpendwa,kanyaga miguu yote, shika mikono huku na huku...
Ni shemeji zangu hao hawachoki wakiamua (ntaumbuka mie [emoji849]) kukuangusha ile ya kuangushwa puuuu....
Aisee ngoja nikimbie 😀😀😀😀
 
Hahahaha umeniita nimefika tupige stori nashangaa una nikimbia,hakuna kosa ulio tenda litakalo nishawishi nikuweke kwenye iginoa list [emoji3]
Asante mpendwa. Na ikitokea nikakukwaza we niambie tu. Leo nina furaha mpaka basi
giphy%20(2).gif
 
Mimi nitoe humo. Hili ni gemu la vijana. Mimi huwa nachagizaga na kuchochea vimoto vya hapa na pale tu halafu navuta kiti na kuanza kula popcorn zangu...

Huku salama kabisa na Tunamshukuru Mungu. Dadangu....
Yu salama kabisa.
#huwanafurahisanawakigusaileyanyandazajuu
#halafuunawajibukamakunaukwelivileee
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]usikubali kuangushwa kirahisi, ni msukuma pyua (hata sijui ya kuangusha kwa mfumo upi?!!) hafai kabisa.Gangamala mpendwa,kanyaga miguu yote, shika mikono huku na huku...
Ni shemeji zangu hao hawachoki wakiamua (ntaumbuka mie [emoji849]) kukuangusha ile ya kuangushwa puuuu....
Chagulaga moja tu.....

[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Yu salama kabisa.
#huwanafurahisanawakigusaileyanyandazajuu
#halafuunawajibukamakunaukwelivileee
Hawa vijana ni kwenda nao pole pole.

Kashfa ya nyanda za juu kusini bado napambana nayo hapo hapa katikati niliamua kuwachanganya na nyingine ya Brazil. Sasa hawajui washike ipi waache ipi [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom