Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Bro, king ananipotosha ila nimeyashinda majaribu.Kidogo ugombane na bro mkubwa eeeeh !
We "mkorofi" sana...
Ishi uhalisia wako bro na siyo kujifanya eti mpoooole mstaarabu. Mpaka unakaribia kugombea himaya na watu wa welding na mfalme mwenyewe. Hufai bro [emoji16][emoji16][emoji16]
Huku kwema....Bro, king ananipotosha ila nimeyashinda majaribu.
Ile himaya sikufanya chochote bro, nilimtania king(mwarabu mwenzangu wa pemba----tunajuana)[emoji3][emoji3][emoji3].
Kuhusu kugombana na bro mkubwa, siumeona alitaka nitie neno na leo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].
Natumai siku imeanza vizuri huko.
Uzi una historia ndefu huu.Umenikumbusha mbali sana enzi zile uzi wetu huu ukiwa mchanga mchanga na cheo chako cha uMaza Hausi. Enzi za Bob 12 (Baba Viv) watu wakigombania kuwa mama wa kambo wa Viv...
View attachment 1175965
Ni kweli. Kuna historia ndefu sana humu...Uzi una historia ndefu huu.
Nadhani mtu akiusoma kuanzia mwanzo itakua kama kitabu na atacheka sana.
Hakika Mungu ni mwema. Anatutendea hata na yasiyo tustahili...Huku kheri Ndugu yangu, niaje huko? Vipi hali ya uzima huko? Nimemmisi yule Mzara hatari. Natumaini yu mzima na anapambana na majukumu yake vizuri!