Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hakika Mungu ni mwema. Anatutendea hata na yasiyo tustahili...
Popote ulipo kivuruge unamisika huku na mzee wa viwainiii... View attachment 1175993
"Kivuruge" akija hapa utamuona "Mgumu" akiwa fulu fosi - lori la maua, aina mbalimbali za mvinyo, magauni ya bluu, viatu vya kila aina, pete na vicheko visivyo na mbele wala nyuma...
 
Huu ushirikina wa noti unafanyikaje?
IMG-20190808-WA0011.jpeg
 
Umenikumbusha mbali sana enzi zile uzi wetu huu ukiwa mchanga mchanga na cheo chako cha uMaza Hausi. Enzi za Bob 12 (Baba Viv) watu wakigombania kuwa mama wa kambo wa Viv...

View attachment 1175965
Dahhh!!!!
Kweli miaka miwili ni kama juzi...
Namshukuru Mungu kupitia uzi huu nimepata ndugu na marafiki wengi sana.
Mungu aendelee kutuweka pamoja kwa amani
 
Bro, king ananipotosha ila nimeyashinda majaribu.

Ile himaya sikufanya chochote bro, nilimtania king(mwarabu mwenzangu wa pemba----tunajuana)πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€.

Kuhusu kugombana na bro mkubwa, siumeona alitaka nitie neno na leoπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€.


Natumai siku imeanza vizuri huko.
Hahaha!
 
Back
Top Bottom