Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

de42d789-67f4-4785-8a52-efc24916c9e6.jpeg
 
We bro huna ugumu wo wote. Afadhali hata hako kenzako kabeba maua na mazagazaga mengine. Wewe kashemeji karembo kamodo ka-Switiliii kalikuendesha hapa juzi juzi tu bro. Na sasa kuna faili lako limetua mezani kwangu limeshiba kweli kweli...

Wewe bro ni simba mwenda pole...hatari mno !!!

Daah nakumbuka kipindi nagombania upate nafasi ya chairman baada ya kumtaka currently mwenyekiti kujiudhuru mambo yalikuwa mazuri

#TatizounatunzasanaDatanajuasevayakoitakuwakubwasana
 
Bro, can you stop saying these bad stuff about yourself? Words are powerful and we manifest reality through what we think and say. I know you are joking but you are making me sad bro [emoji24][emoji24][emoji24]

Usijali bro nilikuwa naimba nyimbo moja hivi ya hip hop si unajua sisi Wagumu na Hip Hop
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

#usiionehii
 
Back
Top Bottom