Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

464021977_60294.jpeg
 
Kwa hiyo majamaa yalifanikiwa kukuchukua kushabikia timu ya menyewe ama? Hebu nikumbushe. Ni timu gani ilikuwa? Man City au Man U. Nilinyong'onyea sana ulipokataa kuja kwetu Aseno kwa kisingizio cha steresi [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji28][emoji28][emoji28]Kweli bhana Aseno Steresi, ningeshindwa kabisa.....Walifanikiwa wakanipa jezi ya Mancity....ila ruksa kuvaa hata ya Man U[emoji41]



#I'msorryYouknow[emoji58]
 
Back
Top Bottom