Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

447810431_243605.jpeg
 
Nakusubiri ila usije ukanifanyia kama Felister alisema anakuja kunipa kumbatizi la kunilaza tangu juzi nipo nasubiri...

Kwema lakini TH? Majamaa yako hayajambo?
Kwema kabisa Ze Don, heshima yako[emoji137]
Apo itabidi nipange foleni mpaka upate kumbatio kwanza [emoji38][emoji38] [emoji125][emoji125]!!

Majamaa hata sijui yamejificha wapi leo...pako kimyaa hadi raha[emoji41]
 
Eti upange foleni mpaka nipate nini? Uwiiiiii !!!

Leo nasikia EPL inaanza. Si ajabu majamaa yanapanga mikakati ya kubeti....

ASANTE TH
 
Foleni ndio mpango....Usije ukalikosa kabisa bure,[emoji13][emoji13]

Pengine wapo kwenye screen....mimi mwenyewe niko macho kutizama Mpira hapa
Kwa hiyo majamaa yalifanikiwa kukuchukua kushabikia timu ya menyewe ama? Hebu nikumbushe. Ni timu gani ilikuwa? Man City au Man U. Nilinyong'onyea sana ulipokataa kuja kwetu Aseno kwa kisingizio cha steresi [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom