Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mshambuliaji wa zamani wa England Andy Carroll amerudi katika klabu yake ya utotoni miaka minane baada ya kuondoka.

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 30 , aliachiliwa na kuwa mchezaji huru na klabu ya West Ham msimu huu kufuatia kandarasi ya miaka sita iliokumbwa na majereha.

Ametia kandarasi ya mwaka mmoja.
 
Dirisha la uhamisho lafungwa
Dirisha la uhamisho hatimaye limefungwa .

Hatahivyo haimaanishi kwamba hakutakua na matangazo yoyote.

Mikataba kadhaa huenda imeidhinishwa na tutaisikia saa moja lijalo.

Mashabiki wa Arsenal wanasubiri kwa hamu habari kuhusu uhamisho wa David Luiz.
 
Romelu Lukaku ajiunga na Inter Milan
Inter Milan wametuma ujumbe wa twitter ulio na kanda ya video ya Lukaku akiwa amevalia jezi ya timu hiyo akisema ''Inter sio ya kila mtu ndio sababu niko hapa''

Romelu Lukaku ametia kandarasi ya hadi tarehe 30 Juni 2024.

Lukaku sasa atakuwa mchezaji wa tatu aliye ghali zaidi kusajiliwa na ligi ya Serie A kufuatia uhamisho huo wa dau la £74m move to Inter Milan.

Wachezaji wengine waliosajiliwa kwa dau la juu zaidi ni Cristiano Ronaldo (£99.2m) aliyejiunga na Juventus na Gonzalo Higuain (£75.3m) .
 
Austin kuelekea West Brom
West Brom imemsajili mshambuliaji wa Southampton Charlie Austin kwa dau la £4m.

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 30 anaelekea katika ligi hiyo baada ya misimu mitatu na nusu akiichezea St Mary, ambapo aliichezea mara 81 na kufunga magoli 20.
 
Crystal Palace kutafuta mchezaji atakayechukua mahala pake Zaha
Crystal Palace imewasilisha ombi la kumsaini mshambuliaji wa klabu ya RB Leipzig Jean-Kevin Augustin iwapo mktaba wa siku ya mwisho itaafikiwa kumnunu winga wake Wilfried Zaha, kulingana na Sky Sports.
 
Djibril Sidibe ahamia Everton kutoka Monaco
Everton imeafikia makubaliano na beki wa Ufaransa Djibril Sidibe kwa mkopo wa muda mrefu katika klabu ya Monaco.

Everton ina mbadala ya kumnunua mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 27 kwa mkataba wa kudumu mwisho wa msimu huu.

Sidibe alishinda taji la ligi ya daraja la kwanza na Monaco katika msimu wa 2016-17 na alikua miongoni mwa kikosi cha Ufaransa kilichoshinda kombe La dunia nchini Urusi mwaka uliopita.

Amefunga magoli sita katika mechi 114 akiichezea Monaco tangu ajiunge na lille 2016.
 
Herrera apata pigo!
Ander Herrera atalazimika kusubiri kwa muda zaidi ili kuanza kuichezea PSG.

Mchezaji hyo wa zamani wa Man Uniuted ametuma ujumbe wa twitter wa picha yake akipokea matibabu ya jeraha la mguu alilopata katika mazoezi siku ya Jumatano, ambalo litamweka nje kwa wiki nne au tatu.Herrera apata pigo!
Ander Herrera atalazimika kusubiri kwa muda zaidi ili kuanza kuichezea PSG.

Mchezaji hyo wa zamani wa Man Uniuted ametuma ujumbe wa twitter wa picha yake akipokea matibabu ya jeraha la mguu alilopata katika mazoezi siku ya Jumatano, ambalo litamweka nje kwa wiki nne au tatu.
 
Duh!!!!
 
hahahahahah, huyo hakufai.[emoji23][emoji23][emoji23]
Ushadandia treni....[emoji16][emoji16][emoji16]

tumblr_m0cdbrqqfb1rqfhi2o1_250.gif
 
Back
Top Bottom