moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Ndiyo tabu ya jukwaa la siasa, kuna watu wapo ughaibuni wanaanzisha hoja chonganishi, hoja zinazoibua povu la kashfa na matusi, ukiamua kutililika ni mwanzo wa kutafuta ugomvi na wasiojulikana.
Nakuona siku hizi kama umepunguza uanaharakati. Kulikoni? Umekuja likizo Bongo nini na unaogopa wasiojulikana halafu ukirudi kwako unalianzisha tena? [emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221]