Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
The prettier [emoji1466] the face the smaller the booty. Why?
Woiii kama mafao umemaliza sikuhitaji😂😂Hata muhenga wa miaka 78 ambaye hata mafao yake alishamaliza kama miye?
Post #7 [emoji23][emoji23][emoji23]
![]()
Tuliowahi kutuma SMS kimakosa kisha zikatutia aibu na kashikashi tuje hapa
Hili kosa la kutuma sms kimakosa nahakikisha sitalirudia tena. Nakumbuka niliwahi kumtumia mama yangu mzazi sms ambayo ilikuwa inatakiwa iende kwa demu fulani hivi [emoji23], bahati mbaya ikaenda kwa B. mkubwa. SMS yenyewe ilikuwa ni zile za kulazimisha kuomba show (sex); niliandika SMS yenye...www.jamiiforums.com
Shemeji,uchovu uongezeke tena!! [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Huku Mbagala kwema shemeji. Vipi weye uchovu wa safari? Au umeongezeka?
Haya magari makubwa haya ninayoendeshaga haya ni hatari sana. Ni vizuri kuwa na tahadhari [emoji16][emoji16][emoji16]
Angumbukwe Mwambongo shemu oni yuuu...[emoji16][emoji16]
View attachment 1176768
Na sisi tusiokuwa wahenga hautupi Hi🙈Wahenga mupo?
moudgulf kuja pande hiiNgosha wanapanga foleni...Hii inanikumbusha kipindi fulani vijana walikuwa wanapanga mistari kabisa hasa kukiwa na demu mpya kwenye zile kota za lile kabila pendwa. Hatari sana !!!
View attachment 1176771
[emoji818][emoji818][emoji818][emoji818]
View attachment 1176785
Kamanda kifungoni tena. Mapambano dhidi ya "nduli" yanaendelea [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1176791
[emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1176798
hahahahahah, huyo hakufai.Woiii kama mafao umemaliza sikuhitaji😂😂
Nataka at least yule anaetaka kwenda kuyashughulikia
Pole kwake huko kwenye siasa ban lazima.
Aaa wapi. Wapo wanaojiamini. Niliwahi kuwa naye wa hivi. Yaani akiona mzigo uliosheheni sawa sawa hata kama sipo anapiga picha na kunirushia. Tulikuwa tunacheka sana. Zaituni Ai misi yu [emoji7][emoji7][emoji7] [emoji16][emoji16][emoji16]