moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Habari zenu majirani nmepita kuwapa Hi
Asante Ninge huu uzi umenichekesha mno 😃😃😃😃😃😃Post #7 [emoji23][emoji23][emoji23]
![]()
Tuliowahi kutuma SMS kimakosa kisha zikatutia aibu na kashikashi tuje hapa
Hili kosa la kutuma sms kimakosa nahakikisha sitalirudia tena. Nakumbuka niliwahi kumtumia mama yangu mzazi sms ambayo ilikuwa inatakiwa iende kwa demu fulani hivi [emoji23], bahati mbaya ikaenda kwa B. mkubwa. SMS yenyewe ilikuwa ni zile za kulazimisha kuomba show (sex); niliandika SMS yenye...www.jamiiforums.com
Hahaha hata mimi pia,nilikuwa bored baada ya kuupitia huu uzi,umeniweka fresh sasa hahaAsante Ninge huu uzi umenichekesha mno [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Salama,Ijumaa kwangu iko njema.Hahaha hata mimi pia,nilikuwa bored baada ya kuupitia huu uzi,umeniweka fresh sasa haha
Salama lakini?ijumaa yako imeendaje huko?