Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Post #7 [emoji23][emoji23][emoji23]
R.i.p bi mkubwa,moja ya matukio ambayo Maza aliniokoa ni hili kukosea msg halafu ikaenda kwenda mzee bahati nzur mda huo Maza alikuwa na simu ya mumewe anacheza game akaisoma coz namba yangu ni nyepesi akawa na uhakika imetoka kwangu akifuta bila mshua kujua.huwezi Amin ilikuwa nimetoka kupewa ada ya chuo usiku huo nikawa nampanga demu nyumba ya jirani twende kigamboni eti niliekuwa namdai kanilipa.kwa ninavyomjua mzee wangu siku ile ndio ingekuwa mwisho wa chuo...nilipewa risala Kali na asubuh tukaongozana na bimkubwa Hadi crdb azikiwe branch kuweka ile hela.
 
Mafuta yakiliwa sana husababisha kuzidi mwilini.
Pia inasadikika mafuta yaliyopo katika chipsi katika sahani moja ya chisi ya moto endapo utaamua kuchuja kuna uwezekano wa kupata nusu glasi ya mafuta ya kupikia. Kwa hali hii ujue ni hatari.
 
hivyo ni muhimu kujiepusha na pia isije ikawa kichocheo kwa wanawake kutumia sana ili kukuza sehemu hizo za maumbile bali wapunguze kutumia chipsi pamoja na kufanya mazoezi ili kuweka mwili katika hali ya kuepuka magonjwa yasiyo ya lazima.
 
Back
Top Bottom