Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Naamini umebaini kuwa maisha ya watu werevu (smart) ni tofauti sana na watu wa kawaida. Pia umebaini kuwa wamedhubutu kufanya mambo ambayo hayajazoeleka kwa watu. Hivyo, na wewe unaweza kufanya uamuzi leo wa kubadili tabia na mwenendo wako ili uwe mtu mwenye tija zaidi. Jiwekee maleko, tunza muda na fanyia kazi maono na ndoto zako.
 
Kwema tu anko(hata pasipo kua kwema kuitikia kwema ni vizuri ili mambo yaende sawia)

Salamu za kutosha kwa wajina
Hayo mengine achana nayo. Si kila kicheko ni cha furaha, kuna cha utamu na kicheko kingine ni cha machungu ya majeraha ya nafsi.Upendo wangu kwako ni wa dhati kabisa, tupo pamoja.
Acha tuishi dunia inavyo taka.
Salaam zako zimefika.
 
Kabisa anko. Happy long weekend. Weeiend iwe ya furaha na amani.
 
FB_IMG_1565342794128.jpeg
 
Back
Top Bottom