Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
Tuombe uzima bro..Naomba Mungu Anipe miaka mingine 40 hapa duniani maandaeitini wote nije niwaone nyote humu mkiwa mmehengeka. Itakuwa powa sana...
Uzima upo tele bro. Nipo hapa kuna reggae festival akina Buju Banton wanashusha muziki wa kufa mtu laivu kabisa...ila fokasi yangu ni yale mambo bro. Ni Summer na yapo ya kila aina yaani. Fulu raha yaani dah !
Huko kwako vipi?
Hahaha imebidi nicheke bro,kwa hiyo zile figure za kijamaika zipo sana hapo?