Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naogopa kuingia ndani zaidi. Ushawahi pata maumivu ya kumzoea mtu mpaka kujihisi akiondoka umepungukiwa kitu?(kama bado yasikie kwa jiran tu bro) Siku JF ikipotea si nitapata tabu sana bora niwape thaman ya likes tu life isonge.Yaani thamani yangu kwako bageshi ni likes tu? Miaka yote hii tuko hapa pamoja? Vere sadi yaani [emoji24][emoji24][emoji24]