Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
[emoji28][emoji28][emoji28]Kweli bhana Aseno Steresi, ningeshindwa kabisa.....Walifanikiwa wakanipa jezi ya Mancity....ila ruksa kuvaa hata ya Man U[emoji41]
#I'msorryYouknow[emoji58]
Jukwaa lile ukiwa unapendelea kutoa maoni Kuna uwezekano mkubwa kila siku ukawa na tress za ajabu [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Kuna siku nilikuwa napambana na jimama kulinda heshima ya ukoo moyo ukawa unapiga kwa kasi mpaka nikawa nasikia mapigo yake kichwani na masikioni mpaka nikawa najisemea kichwani "Shigongo hia ai kamu fronti peji bageshi"...
Nikaomba taimu auti nikanywa maji na kujimwagia maji ya baridi moyo ukarudi sawa mpambano ukaendelea. Ila siku ile nilishtuka sana. Kwenda kwa Kadiolojisti moyo safii hauna shida. Ilikuwa ni kukamia tu...Ai wili neva fogeti zati dei [emoji16][emoji16][emoji16]
(Treni tayari [emoji2099][emoji2099][emoji2099])
Huyu mpaka siku yale ma plus size yake anayoyapenda yatakapo mresitisha inipisi ndio atakapoipata khabari yake! [emoji16][emoji16]