myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
hiiiiiiiih(Magu' Voice)[emoji23][emoji23][emoji23]Hahah!
#KikatiokilikuaSenegalkumfungaAlgeria...
#Labdatutafutekingine
#Alafu NakuremembersanaatanikiwaUlimwenguwakawaida
Hahahaha
Aisee,inasikitisha sana,vijana wengi wamepoteza uhai wao,,ila hii kwetu inatokea sana lakn kujifunza inakuwa ngumu...![]()
Morogoro: Lori la Mafuta lapata ajali na kulipuka, watu 104 Wapoteza maisha na wengine kujeruhiwa...(Picha zinaogofya)
Ajali imetokea eneo la Mzambarauni (Nje kidogo ya Mji wa Morogoro). Inadaiwa kuwa waendesha Bodaboda waliojaribu kuchota mafuta wameteketea ktk moto huo > Mpaka sasa chanzo cha Lori hilo kupinduka na hatimaye kushika bado haijafahamika Update: 1205hrs Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya...www.jamiiforums.com
Ni kweli kabisa tahadhari juu ya vitu kama hivi kwetu wananchi ni ndogo sana....!Aisee,inasikitisha sana,vijana wengi wamepoteza uhai wao,,ila hii kwetu inatokea sana lakn kujifunza inakuwa ngumu...
Rest in peace makamanda!!
![]()
Morogoro: Lori la Mafuta lapata ajali na kulipuka, watu 104 Wapoteza maisha na wengine kujeruhiwa...(Picha zinaogofya)
Ajali imetokea eneo la Mzambarauni (Nje kidogo ya Mji wa Morogoro). Inadaiwa kuwa waendesha Bodaboda waliojaribu kuchota mafuta wameteketea ktk moto huo > Mpaka sasa chanzo cha Lori hilo kupinduka na hatimaye kushika bado haijafahamika Update: 1205hrs Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya...www.jamiiforums.com
Habari ya kuhuzunisha hii.![]()

Ninge kwema huko bro?
Kwema bro,tunamshukuru Muumba..Ninge kwema huko bro?
Wkend hii unatunyima nn pande hizo?