Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
hahahaahahahahh hahahahahhaahha
Mie nimeshinda salama tu, namaliza wekeend kwa kuangalia mechi za leo.Kuna mvua na manyunyu kidogo. Nipo tu home leo sina ishu. Najipikilisha pikilisha na kusafisha safisha hapa na pale. Ya kwako inaendeleaje?
Sisi Aseno kesho. Fulu siteresi yaani...Mie nimeshinda salama tu, namaliza wekeend kwa kuangalia mechi za leo.