Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Sisi hatuhangaiki na picha za vidume. Hiyo ni idara yenu....Mwanaume aweke picha za vidume ili iweje?Hahahaha laiti kama angekuwa kidume usingeweka hii picha
Sana tu ndo maana wapaka rangi kucha ,,wauza duka na gengeni,boda boda hawakosi uji deileKuna kafuraha mnapataga lakini...[emoji2221][emoji2221][emoji2221]
HahahahaUtafiti wangu mfupi unaonyesha kuwa mabinti wanaopenda kujinadi kuwa hawana chura ndiyo wamefungasha balaa in real life. Sema tu hatuwezi kuonana humu....
Hongera mpendwa kwa kuwa mashalaah katika nyanja hiyo [emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Nimegundua wanaume wa humu mnapenda sana wanawake wanene haipiti siku bila picha za minyama.Sisi hatuhangaiki na picha za vidume. Hiyo ni idara yenu....Mwanaume aweke picha za vidume ili iweje?
(Nimo ndani ya treni tayari nshadandia miye. Litakakonifikisha huko huko mi ndo naenda [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099])...
Lingekuwa limeanguka gari la K-Vant au la Jibapa labda...na hata maparachichi. Wako salama hawa wapendwa [emoji1545][emoji1545]
Niko sahihi mpendwa...kwa asilimia 99.9%Hahahaha
Tatizo unataka kubadili ukweli uwe Uwongo mpendwa nimebaki kukubali vile unataka kuamini 😃😃😃😃Niko sahihi mpendwa...kwa asilimia 99.9%
Siwezi kuwasemea wengine ila kwangu uko sahihi kabisa. Na siyo wanene tu. Ni lazima wawe na wese pia [emoji2099][emoji2099][emoji2099]Nimegundua wanaume wa humu mnapenda sana wanawake wanene haipiti siku bila picha za minyama.
Wese ni nini mpendwa?Siwezi kuwasemea wengine ila kwangu uko sahihi kabisa. Na siyo wanene tu. Ni lazima wawe na wese pia [emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 1177739
Wese ni mafuta ila katika muktadha huu limetumika kumaanisha msambwandaWese ni nini mpendwa?
Thanks 🙏Wese ni mafuta ila katika muktadha huu limetumika kumaanisha msambwanda
[emoji125][emoji125]rararaaaa tararaaaa [emoji445][emoji444][emoji445][emoji443][emoji445][emoji444][emoji445][emoji443]Nimegundua wanaume wa humu mnapenda sana wanawake wanene haipiti siku bila picha za minyama.
Nakwambia wakina Simba wa buyenze, Bak na Capitalpool wamekuharibu tayari hukuwa na tabia hii kabla 😀😀😀😀[emoji125][emoji125]rararaaaa tararaaaa [emoji445][emoji444][emoji445][emoji443][emoji445][emoji444][emoji445][emoji443]View attachment 1177744
Ajali hii huwa salama zaidi kwa waleviLingekuwa limeanguka gari la K-Vant au la Jibapa labda...na hata maparachichi. Wako salama hawa wapendwa [emoji1545][emoji1545]
Whaaaaaat?????uwiiiii anko ndo muanzisha misemo mingi humu akishirikiana na jirani kwa karibu mno. Hamna mpole humuNakwambia wakina Simba wa buyenze na Bak wamekuharibu tayari hukuwa na tabia hii kabla 😀😀😀😀