andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Jamaniii!!!Weweeee...!!!
Misemo karibu yote humu ya kwake sema tu siku hizi kuna kautakatifu takatifu fulani hivi amejivika na ameshaacha matani yanayohusu misambwanda, saksafoni, maparachichi, konokono na mengineyo (na misemo yote hii ya kwake). Uzi huu we uache tu ulivyo bali hakuna mtakatifu humu (labda miye sometimes). Hata wewe sasa unajifanya mature huna maneno mengi mpendwa zinakutoka lakini tutaona huko mbele ya safari unless uondoke [emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Kweli tumetoka mbali sana [emoji3][emoji3][emoji3]