Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG-20190810-WA0042.jpeg
 
Maumbile ya mwanamke yanampendeza kila mmoja, ndiyo maana biashara zote huambatana na picha za warembo.
Si umeona lakini mama wa watu alivyopendeza na pamba zake za ufukweni!!!?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2937]
Aione Numbisa comment hii haki vile nimecheka mno hapo ulipo hata nafsi inakataa kwa sifa hii.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]hahahaha wanawake mnapendaga sana kulishwa matango pori.
Ukitaka kuvunja nguvu za mwanamke, hata awe na kisirani cha aina gani mmwagie sifa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha hapo anajikuta ana Umbo nzuri halafu baadhi ya wanaume huwa wanatulisha matango pori mtu unakuta kama Mimi Sina chura lakini unakuja jamaa ana kusifia kinoma [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
[emoji23][emoji23][emoji23]hahahaha wanawake mnapendaga sana kulishwa matango pori.
Ukitaka kuvunja nguvu za mwanamke, hata awe na kisirani cha aina gani mmwagie sifa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha hivyo mnavyofanya sio vizuri ongeani ukweli mfano unaweza kunambia Hawachi una sura ya Mpoto sio kutujaza sifa oooh sura nzuri kama Biyonce kumbe nina sura ngumu zaidi ya Jiwe 😃😃😃😃
 
Hivi kama una kimguu cha maana, una rangi maji ya kunde na hutumii mkorogo, ama umesheheni msambwanda kama anavyopenda Kamanda wangu[emoji23], hauna tumbo, sura ya kuvutia, sauti nyororo, jicho la pozi, nk, nk, nk.
Ukisifiwa na kuombwa urafiki kuna kosa hapo muhenga?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha Mwanaume akikusifia usimuamini asilimia mia [emoji12]
 
Hahahahahahaha, kamanda umeanza kumwaga maujiko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Utafiti wangu mfupi unaonyesha kuwa mabinti wanaopenda kujinadi kuwa hawana chura ndiyo wamefungasha balaa in real life. Sema tu hatuwezi kuonana humu....

Hongera mpendwa kwa kuwa mashalaah katika nyanja hiyo [emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
 
Raha ya treni kudandiwa kamanda, mi siku nikidandia treni ya mtu naomba watu wasinizodoe, maana najijua, nina shobo sana, nafanyaga kujizuia tu[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Sisi hatuhangaiki na picha za vidume. Hiyo ni idara yenu....Mwanaume aweke picha za vidume ili iweje?

(Nimo ndani ya treni tayari nshadandia miye. Litakakonifikisha huko huko mi ndo naenda [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099])...
 
Back
Top Bottom