Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahahaha hivyo mnavyofanya sio vizuri ongeani ukweli mfano unaweza kunambia Hawachi una sura ya Mpoto sio kutujaza sifa oooh sura nzuri kama Biyonce kumbe nina sura ngumu zaidi ya Jiwe [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Ukisimamia ukweli utampata mwanamke gani? Unataka tufe na ukame wetu? Kwa mwanamke tuuwongo twa hapa na pale kunogesha nogesha muhimu sana [emoji16][emoji16][emoji16]
 
69035393_962262014105516_4252949723546652292_n.jpg
69035393_962262014105516_4252949723546652292_n.jpg
 
Back
Top Bottom