Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Wee mzee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi kama una kimguu cha maana, una rangi maji ya kunde na hutumii mkorogo, ama umesheheni msambwanda kama anavyopenda Kamanda wangu[emoji23], hauna tumbo, sura ya kuvutia, sauti nyororo, jicho la pozi, nk, nk, nk.
Ukisifiwa na kuombwa urafiki kuna kosa hapo muhenga?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wee mzee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata mimi nimemshtukia.....Wee mzee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naona wako makanisani wanasali leo...na kuomboleza....Mmefichwa ee